Jamani ajali nyengine ni za kujitakia mtu mwenyewe, kama hawa vijana wakiwa wamedandia gari la kubebea maji kwa nyuma bila ya kuwa na tahadhari juu ya jambo litakalotokea juu yao na kuweza kupoteza maisha yao na kupata kilema endapo itatokea jambo lolote lile, hii ilikuwa katika barabara ya Fumba vijana hawa wakiwa katika gari hili kwa kitambo kirefu wakiwa wamedandia gari hiyo kwa ajili ya kupata lifti.
Hii sio shida ya Usafiri kwa njia hii ya Fumba kwa sasa njia hii ina magari mengi yanayotowa huduma kwa Wakazi wa maeneo ya Shakani, Maungani, Kombeni, Dimani hadi fumba usafiri wake kwa usemi wa vijana wa kumwaaaaaaaa, baada ya kuimarishwa kwa miundombinu ya Barabara nyingi karibu Zanzibar nzima mambo safi katika suala la barabara.
Nikweli unayosema kaka Othmani hawa watu wana dandia magari makubwa kama haya kwasababu hatuna Polisi wa Usalama ambao wanajua nini maana ya Kazi zao... Trafic Polisi kazi zao sio kuangalia Magari mabovu au valid Linsance... Lakini pia na usalama wa watu ndani ya Magari au magari yamizigo jinsi yanvyopakia..
ReplyDeleteTrafic Polisi wanatakiwa wawe Mobile ili waweze kuangalia magari na abiria kila corner ya Nchi. Unguja na Pemba sio kubwa kwamba Polisi wa Usalama barabarani watashindwa kuizunguka..
Lakini ndio hivyo tena Tumetawaliwa na Wadanganyika..
nCHI ZA WENZETU WANAOTHAMINI USALAMA WA rAIA NA VYOMBO VYA USAFIRI.. Wangemcharge huyu Dereva kwakuachia gari yake kudandiwa na kuwapatia adhabu yakifingo cha mwezi mmoja hao waliodandia gari bila kujali usalama wao.
Hawajui hata nini maana ya Polisi... aS FAR AS ccm AS CONCERNED WE WILL EVER HAVE A GOOD TRAFIC REGULATION.