Habari za Punde

Mvua zinaendelea kuleta madhara Pemba

Wenye data ni maeneo gani haya

Picha kwa hisani ya mdau wa facebook

6 comments:

  1. huu ni uwanja wa barcelona pale chake.

    ReplyDelete
  2. msikiti mkubwa wa ibadhi karibu na jengo la ghorofa la munawar

    ReplyDelete
  3. msikiti mkubwa wa ibadhi karibu na jengo la ghorofa la munawar

    ReplyDelete
  4. Hili ni eneo la miembeni chake, kiasili hili ni eneo la maji na hata serikali ilikua imejenga kisima pamoja na mashine ya mji kwa wakaazi wa Mjini.

    Huu ni ushamba wa kujenga mabondeni au kwa mujibu wa wenyewe ni MATATIZO YA MUUNGANO

    ReplyDelete
  5. Zamani ulikuwa unaitwa uwanja wa Africana
    Hapo ni maeneo Miembeni bombani

    ReplyDelete
  6. @ Mchangiaji wa 4.... Huo sio Ushamba wakujenga Mabondeni bali ni Ukosefu wa Miondo mbinu ambao Upo katika Visiwa vya Zanzibar.

    Haya yanaweza kuchangiwa na Matatizo ya MUUNGANO Juu ya Ugawaji wa Misaada wanayogaiwa Tanzania kwa kutumia KOTI-MUUNGANO..Nanukuu hapo chini.

    .....In February 2008, MCC signed a five-year, $698 million compact with Tanzania aimed to reduce poverty and stimulate economic growth by increasing household incomes through targeted investments in transportation, energy, and water.

    Tukumbuke msaada huu ulikua kwa awamu ya 2... Sasa tujiulize ni misaada Mingapi Tanzania inapokea kwa Jina la Muungano na Zanzibar.(hasa Pemba wanafaidikaje?..)

    Sasa jiulize hiyo 0.4% inayogaiwa Zanzibar, inaliwa na CCM-SMZ ambao hawajui kutetyea haki na maendeleo ya Zanzibar.

    Kwa uhakika zaidi tembelea:
    www.mcc.gov-tanzaniaroad

    Hivyo mimi siwezi kuwalaumu watu kujenga katika sehemu hizo kwani sehemu nyengine zilizobakia zote zina mi-mongonyoko ya Ardhi... Na hii nikutokana nakutokua na Uongozi bora , Imara, na Muungano... Wazanzibari katiba yao inawaruhusu kumuondosha Raisi kwakutumia Maandamano ya Amani... Lakini Kwavile Tumetawaliwa na Mkoloni Mweusi Tanganyika.. Tunashindwa kwani huletewa JWTanganyika wakaharibu dadazetu..

    Tumeona 2000-2005. Jinsi Mkapa na Salimini walipouwa Pemba.


    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.