Wenye data ni maeneo gani haya
Picha kwa hisani ya mdau wa facebook
HUYU NDIYE UGIN MKINGA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MADABA
-
Ruvuma.
Ugin Mkinga ni jina jipya lenye mvuto mkubwa katika anga ya siasa ya
Tanzania, hasa kwa wale wanaofuatilia mustakabali wa maendeleo ya Jimbo la ...
57 minutes ago
huu ni uwanja wa barcelona pale chake.
ReplyDeletemsikiti mkubwa wa ibadhi karibu na jengo la ghorofa la munawar
ReplyDeletemsikiti mkubwa wa ibadhi karibu na jengo la ghorofa la munawar
ReplyDeleteHili ni eneo la miembeni chake, kiasili hili ni eneo la maji na hata serikali ilikua imejenga kisima pamoja na mashine ya mji kwa wakaazi wa Mjini.
ReplyDeleteHuu ni ushamba wa kujenga mabondeni au kwa mujibu wa wenyewe ni MATATIZO YA MUUNGANO
Zamani ulikuwa unaitwa uwanja wa Africana
ReplyDeleteHapo ni maeneo Miembeni bombani
@ Mchangiaji wa 4.... Huo sio Ushamba wakujenga Mabondeni bali ni Ukosefu wa Miondo mbinu ambao Upo katika Visiwa vya Zanzibar.
ReplyDeleteHaya yanaweza kuchangiwa na Matatizo ya MUUNGANO Juu ya Ugawaji wa Misaada wanayogaiwa Tanzania kwa kutumia KOTI-MUUNGANO..Nanukuu hapo chini.
.....In February 2008, MCC signed a five-year, $698 million compact with Tanzania aimed to reduce poverty and stimulate economic growth by increasing household incomes through targeted investments in transportation, energy, and water.
Tukumbuke msaada huu ulikua kwa awamu ya 2... Sasa tujiulize ni misaada Mingapi Tanzania inapokea kwa Jina la Muungano na Zanzibar.(hasa Pemba wanafaidikaje?..)
Sasa jiulize hiyo 0.4% inayogaiwa Zanzibar, inaliwa na CCM-SMZ ambao hawajui kutetyea haki na maendeleo ya Zanzibar.
Kwa uhakika zaidi tembelea:
www.mcc.gov-tanzaniaroad
Hivyo mimi siwezi kuwalaumu watu kujenga katika sehemu hizo kwani sehemu nyengine zilizobakia zote zina mi-mongonyoko ya Ardhi... Na hii nikutokana nakutokua na Uongozi bora , Imara, na Muungano... Wazanzibari katiba yao inawaruhusu kumuondosha Raisi kwakutumia Maandamano ya Amani... Lakini Kwavile Tumetawaliwa na Mkoloni Mweusi Tanganyika.. Tunashindwa kwani huletewa JWTanganyika wakaharibu dadazetu..
Tumeona 2000-2005. Jinsi Mkapa na Salimini walipouwa Pemba.