Habari za Punde

PBZ Yakabidhi Fulana kwa Ajili ya Siku ya Wauguzi Duniani


 Meneja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Seif Suleiman kulia akimkabidhi fulana Mrajisi wa Baraza la Wauguzi Zanzibar Haji Haji Khamis, kwa ajili ya kusherehekea Siku ya Wauguzi Duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka Mei 12. Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi za PBZ Darajani akishuhudia  makabidhiano hayo Msaidizi Muuguzi Wanu Bakari.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.