Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi kadi ya CCM Iddi Kassim Iddi, akiwa ni miongoni wanachama wapya CCM 260 pamoja na jumuiya zake, waliokabidhiwa kadi katika mkutano
uliofanyika leo katika uwanja wa Mpira Makombeni Pemba,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Mkoa wa Kusini Pemba

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba,wakati alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama katika Wilaya ya Mkoani Pemba 

Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wa Mkoa wa Kusini Pemba,wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza nao leo katika ukumbi wa mikutano wa Skuli ya Fidel kastro Vitongoji Chakechake Pemba,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama katika Mkoa wa Kusini
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein, akikata utepe kulizindua Tawi la CCM Makombeni, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama katika Wilaya ya Mkoani Pemba 

Wanachama wa CCM Tawi la Makombeni Wilaya ya Mkoani Pemba,wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa kizngumza na wananchi hao leo katika ziara ya kuimarisha Chama Mkoa wa Kusini Pemba

Wanachama wapya wa CCM wakila kiapo cha Utii wa Chama baada ya kukabidhiwa kadi zao leo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakati wa mkutano wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi
katika Mkoa wa Kusini Pemba, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Mkoa wa Kusini Pemba
Baadhi ya Wanachama wa CCM Tawi la Makombeni Wilaya ya Mkoani Pemba,wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi hao leo katika ziara ya
kuimarisha Chama Mkoa wa Kusini Pemba
No comments:
Post a Comment