
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume, kwa ajili ya kuwasha Mwenge, hapo kesho katika viwanja vya Kijiji cha Chokocho Mkoa wa Kusini Pemba. Na kuaza mbio zake katika Mikoa miwili ya Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serekali na Wananchi waliofika uwanja wa ndege kumpokea, Ikiwa ni matayarisho ya uwashaji wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka huu utawasha kisiwani Pemba na Ris wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Chokochoko.
No comments:
Post a Comment