Habari za Punde

Vijana Wakiwa katika Mchezo wa Kutembea na viatu vya Roler.

 Vijana wakionesha umahiri wa kutembea na kucheza na viatu maalum vya maringi na kuonesha show katika viwanja vya basket amani nje, Uamuzi huu ni mzuri walioamua kuonesha show yao katika kiwanja hicho. Hapommwazo walikuwa wakihatarisha maisha yao kutembea na viatu hivyo barabarani na kuonesha mbwembwe zao bila ya kujali athari itakayowapata 
Ikiwa barabara ina matumizi ya watu wengi 


1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.