Habari za Punde

Makamu wa Rais Dkt. Bilal aifariji Familia ya Marehemu Balozi Habib

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji Mjane wa Balozi Habib Suleiman, Bibi Moza Habib, wakati alipokwenda nyumbani kwa Marehemu Kilimani mjini Zanzibar kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwaWanafamilia wa marehemu na kuwapa mkono wa pole wafiwa,  Kushoto ni Mama Zakia Bilal na kulia Mama Asha Bilal.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.