MJUMBE
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Joseph Butiku (katikati) akichangia hoja katika Kikao
cha ndani cha Tume hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Makao Makuu yaTumeJijini Dar es
Salaam leo (Alhamisi Mei 16, 2013). Wengine ni Wajumbe waTume, Alhaji Said El
Maamry (kushoto) naBw. Yahya Msulwa.
MJUMBE
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Mwatumu Malale (kushoto)
akichangia hoja katika Kikao cha ndani cha
Tume hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume Jijini Dar es Salaam leo
(Alhamisi Mei 16, 2013). Wengine ni Wajumbe wa Tume, Bw. Awadh Said (katikati) na
Richard Lyimo.
ili kuweka uwazi ni vyema haya majadiliano yakawekwa wazi kwa wananchi kuyaona na kuyasikia kwa njia ya TV yawe live sio yahaririwe
ReplyDelete