Habari za Punde

Waawaa Taa za Solar Barabara za Mji Mkongwe zinameremeta.


 Mradi wa Taa za Solar katika barabara mbalimbali za mji mkongwe zikitowa huduma hiyo kwa Wananchi wakati wa usiku. Kama zinavyoonekana katika barabara ya Michenzani -Maisara na Michezani kwenda Mlandege. 

5 comments:

  1. nakubaliana nawe waaaa , lakini isiwe kwa muda , tuweze kuendeleza hizo taa , sio tusubiri mpaka wafadhili watupige jeki, kama tulitaka kujitawala basi tuonyeshe uwezo huo, sio kulimbikiza mali nchi za nje unaofanywa na sehemu kubwa ya viongozi wa SMZ , sina haja kusema wa muungano hao wamekubuhu. Tuvunje muungano maendeleo yatakuja , tukikumbatia muungano , maendeleo kama haya ya taa barabarani yatachukua nusu karne kama mnavyoona.

    ReplyDelete
  2. Imependeza sana wanstahiki kupewa sifa yao mcheza kwao hutunzwa lakini chaku sikitisha zaidi hayo machaka katika hizo barabara imekuwa kama vile Binadamu asiejuwa kwenda kwa kinyozi au hata matumizi ya kiwembe .

    ReplyDelete
  3. nice view of zenji at least na sisi tujihisi fresh kidogo m/mungu atujalie na sisi tukaribie maendeleo ya visiwa kama vya majirani zetu wa east africa na vile vengine vya africa kama mauritius,seychelles,cape verde,São Tomé and Príncipe na vyengine vyote.
    tukizidisha bidii ya maendeleo tutawafikia tu inshalah.

    ReplyDelete
  4. Huu mradi utaendelea na Pemba...?

    ReplyDelete
  5. Kweli ni kitu cha kupendeza lakini miradi kama hii ishapitwa nawakati miakamingi kwa mwenzetu au kwakuawa hukunjaani, tusifutu? inasemekana hata hayo makenezim ya ubabaishaji,taa zenye ni zahali wakati sarahisi zipo au ndio watu wapate ulaji

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.