Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanafunzi wa Skuli ya Fidel Castro Pemba leo jioni. Rais alichukua hatua hiyo kusikiliza changamoto mbali mbali zinazoikabili skuli pamoja na wanafunzi wanaosoma katika Skulini hapo,
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
hiki kilikuwa ni chuo chenye kutoa wanafunzi bora lakini mkaki............ninihiii kwa ajili ya mambo yenu ya unanihiii
ReplyDelete