
Wakati Simba ikijifua katika kisiwa cha Unguja , timu ya Yanga nayo iko kisiwa cha Pemba ikijifua kujiandaa na pambano lao na watani wao wa jadi Simba hapo siku ya Jumamosi.
Pichani mchezaji wa Yanga , Haruna Niyonzima akihojiwa na waandishi wa habari, Suleiman Rashid Omar na Is-hak Mohammed wakati wakiwa katika mazoezi makali ya kutaka kulipiza kisasi cha kufungwa 5-0 na Simba, kiwanja cha Gombani , Chakechake Pemba.
Picha na mdau wa facebook
No comments:
Post a Comment