Habari za Punde

Mnyama Kajichimbia Zenj kwa Mchezo wake na Mabingwa wa Tanzania Yanga unaotarajiwa kufanyika Jumamosi kufunga Ligi Kuu

KOcha Mkuu wa Simba akikinowa Kikosi chake katika Kisiwa cha Marashi ya Karafuu kwa ajili ya mechi yao na timu ya Yanga unaotarajiwa kufanyika jumamosi 18-5-2013 mjini Dar, Kikosi hicho kikiwa kimejichimbia Kisiwani huko na kufanya mazoezi yao katika Uwanja wa Mao Zenj.Kama anavyoonekana akitowa mafunzo kwa kikosi chake.







No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.