Habari za Punde

Dk Shein akutana na Balozi wa Oman nchini

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Maapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na  Balozi wa Oman Nchini Tanzania Yahya Moosa  Albakri,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Leo asubuhi kwa mazungumzo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na   Balozi wa Oman Nchini Tanzania  Yahya Moosa  Albakri,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifuatana na  Balozi wa Oman Nchini Tanzania  Yahya Moosa  Albakri,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Leo
asubuhi,baada ya mazungumzo yao.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.