Habari za Punde

Kombe la Mabenki Likiendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja kati ya NMB na DTB

 Kikosi cha Timu ya Benki ya NMB kilichotoka na ushindi dhidi ya timu ya benki ya DTB, kwa kuifunga mabao 2 --0,mchezo uliofanyika uwanja wa Kikwajuni.
 Viongozi wa timu ya NMB wakipanga mkakati wa ushindi dhidi ya wapizani wao timu ya Benki ya DTB.
 Mshambuliaji wa timu ya benki ya DTB, akimpita beki wa timu ya NMB katika mchezo wa Kombe la Mabenki Zanzibar. 
 Hapa kazi tuu ndivyo inavyoonekana mchezaji wa timu ya DTB, akimiliki mpira katika mchezohuo.
Huupati huu wangu tu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.