RAIS SAMIA ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMBUKIZI YA HAYATI BABA WA TAIFA
MWALIMU JULIUS NYERERE
-
PICHA ZA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu
Hassan leo October 14,2024 ameshiriki ibada...
4 hours ago
UNGUJA NI NZURI KUPITA KIASI
ReplyDeleteYou are write bwaba David!! Ukiona vyaelewa ujuwe vimeundwa!!!! Lakusikitisha watu Ambao hawajuiwi utamaduni Wazanzibari are very happy to introduce their own culture Kama baadhi ya watu utawaona wanakatana nywele katika maeneo ya Darajani opposite na kwenye makontena, au Wamasai kuufanya uwanja Wa Malindi ndio sehemu ya kulala na kufanya haja ndogo kubwa , mama ntilie wamejaa sehemu ya nyuma ya markiti na kusababisha uharibifu Mkubwa Wa mazingira, mji mkongwe vinyago kila mahala. Hizi ni baadhi ya culture ambazo 20s back you will never see them anywhere in Zanzibar!!! But ...... ........
ReplyDeleteYou are right bwana David!! Ukiona vyaelewa ujuwe vimeundwa!!!! Lakusikitisha watu Ambao hawajuiwi utamaduni Wazanzibari are very happy to introduce their own culture Kama baadhi ya watu utawaona wanakatana nywele katika maeneo ya Darajani opposite na kwenye makontena, au Wamasai kuufanya uwanja Wa Malindi ndio sehemu ya kulala na kufanya haja ndogo kubwa , mama ntilie wamejaa sehemu ya nyuma ya markiti na kusababisha uharibifu Mkubwa Wa mazingira, mji mkongwe vinyago kila mahala. Hizi ni baadhi ya culture ambazo 20s back you will never see them anywhere in Zanzibar!!! But ...... ........
ReplyDeleteWewe Anonymous wa pili utakua UWAMSHO!
ReplyDeleteMambo haya hayatokani na jamii au watu fulani,bali kutokuwepo kwa sheria na usimamizi makini.
Hebu niambie kuna vyoo vingapi ktk eneo la darajani unavyovijua?
Hao mama ntilie ni mama na dada zetu wanaotafuta wanaotafuta rizki, naamini wakipatiwa eneo mbadala, hawawezi kuendelea kubaki hapo.
Hiyo 'culture' unayoisema haiwezi kubaki wakati watu wana njaa na kwa taarifa yako 'culture' hubadilika kutokana na mabadiliko ya wakati.
Ambavyo havikuwepo Z'bar 20 years back sio hayo uliyotataja tu, bali ni pamoja na vyuo vikuu, W'bari wengi wanaoishi nje na mengi mengineyo.
Wewe mwenyewe na familia yako naamini hufuati hizo 'culture' lkn. wenzio unataka wasiuze vinyago ili wafe njaa.
Najua utasingizia Dini lkn. ninavyojua, tumekatazwa tusiabudu masanamu na sio kuuza na vile tunaowauzia wanafanya mapambo na sio kuabudu mm ntaendelea kuuza...hapo vipi?
Adhubany una tatizo na uamsho, so what wewe endelea tu kuuza hivyo vinyago...
ReplyDelete@Anonymous 2..
ReplyDeleteUmemaliza Maoni unayosema ni 100% sawa kaka... Nchi Imeharibiwa kwakuacha Milango ya Immigration Wazi. Ati kwasababu Tu Wazanzibari Wako Bara hivyo na Wabara hata (Wala Watu n Wanywa Damu) Wanaachiwa kuingia Mijini wala hawajui kutumia hiyo Miji.
Tokalini Mmmasai na Choo au Ufukwe?
Nenda Nungwi ukaangale jinsi Fukwe zilivyoharibiwa na Wakenya, Waganda, na Wamasai.. Hawajawahi kuona Bahari yakheeee? Condom, machopa na vibati vya Bia kila Upande ati wale Ndio wawekezaji..
Hivyo hawajui kama Zanzibar sio Jangwa ambalo lina Miraba ya maeneo na mapori makubwa? Zanzibar ni Visiwa ambavyo hata wenyewe hawaenei tena kwanini Tujaziwe Wala Watu.
Hao Wakenya ukienda Kenya wanakusumbua na Visa hata yakukaa wiki moja pale Nairobi halafu hao Wamau Mau wanaingia tu akina David Kambona.. Sijui kama huyu jamaa sio Mjukuu wa Yule Kambona wa Tanganyika aliefukuzwa na Nyerere...
Mapara kuwa makini watakuharibia blog yako hao uhamsho kazi ni ubaguzi tu angekuwa kasema mwarabu upesiupesi wangesapoti wacheni ujinga huo
ReplyDeleteTupo makini Mkuu tunaangalia tu huu uhuru wa mawazo na kutoa maoni unavyotumika kama ni wa kistaarabu na kulenga katika kujenga
ReplyDeleteA-A Sasa watu kuzungumzia uharibifu unaofanywa na wageni huu ni ubaguzi? Kwa maana hiyo watu wakae kimya tu!! Ni mzanzibar yupi aliougeuza uwanja Wa Malindi kuwa ndio sehemu ya kalala, kufanya haja ndogo na kubwa!! Kwa hiyo kusema kweli ndio Ujinga au kutokubali ukweli ndio Ujinga !!? Naomba mnifamishe wana blog !!!! Kila kitu UAMSHO!!!!! UWARABU !!!! Wacheni mawazo mgando hayo!!! Wake up!!! Wakihama Malindi next stop FORODHANI!! Mmm namna hiyo
ReplyDeletevisiwa hivi haviendelei kutokana na ubaguzi wa rangi ulipandikizwa na kina Nyerere na wenzake waliotangulia mbele ya haki , kila kitu mwarabu , mhindi , mzungu , hatuendelei.
ReplyDeleteNendeni mkaangalie marekani , kila kitu chake kachanganya, angalia jeshi lake kila rangi na dini za watu wamo humo , lakini nenda polisi wetu au jwtz, kama huna rangi nyeusi hupati kitu labada uwe mmpare au mchaga au mrangi watakukubali kwa kuwa wao huwa hawana rangi nyeusi lakini wanakubalika.