TAA YAWAFIKIA WADAU WA UTALII KATIKA MAONESHO YA S!TE
-
Maonesho ya Swahili International Tourism Expo (S!TE) mwaka 2024
yamehitimishwa rasmi jijini Dar es Salaam, yakiteka hisia za wengi kwa
mafanikio makubwa ...
2 hours ago
ReplyDeleteHaya tena, afanye ili awahi kujiimarisha kabla ya 2015.
Ule mchezo wa kupeleka Bungeni zaidi ya wabunge 70 kutoka Z'bar kwa ajili tu ya kwenda kulalamika tu sasa umekwisha.
Sasa malalamiko chukwani...Yaani mbunge wa Z'bar wapiga kura wake sio zaidi ya 10,000 lkn. mshahara zaidi ya mil.12 sawa na mwenzake mwenye watu laki 2 lkn hawalioni hilo.
Pamoja na kuwa ni mabunge wetu lkn. lazma tuwe 'objectives' hawana wanalolifanya, ukitoa akina KHALIFA, HAMAD RASHID na wachache wengine..waliobakini ni kulalamika tuuu!
Wazanzibar ndio utamaduni wao, kulalamika tu. Jiulize Pemba yote wabunge ni kutoka CUF lakini wanafanya nini cha maana?
DeleteSasa hilo sio chaguo laWananchi wa Pemba? Mbona na Bara abunge wote na Mawaziri ni Wakristo au Chadem.. Jee wanalo wanalolifanya?
ReplyDeleteWananchiWapemba wameamua kuichagua CUF kwasababu wamechoka Kubaguliwa nakutengwa kwa isiwa chao kwa miaka 50 sasa. Hivo wameona waipe hiyo CUF japokua hawapati lolote.. However that they use their Civic Rights by choosing the party they beliave on,despite you guys dont see the benefits of it; but they can aparently saw it
Anonymous wa 3 uwe na akili kidogo, ukiona mtu analalamikia jambo ujue linamgusa!
ReplyDeleteMambo ya CHADEMA na UKRISTO hayatuhusu, sisi tunawalaumu wale waliotuchezesha 'melody' kutufukuzisha kazi na kupelekea kuvunjwa kwa nyumba zetu na maeneo ya biashara Mtoni na J/mbe.
Ukikanyaga Pemba leo hii, utaona huruma hujui umsaide nani uache nani..unataka kuniambia nini?
Anonymous wa 4. Mimi sio kama nalalamika bali nawajibu hao walionitangulia mimi waliosema kwamba Pemba Wabunge wake wote ni CUF na hawana wanalolifanya. Kama huyu Yusuf amesaidia jimbo lake la Chambani kwa mambo mengi sana. kama vile Miuwani n.k Huyu kijana anafanyakazi Mantar Reef na yeye ni Manager na ana share yake pale. Amejaribu sana kuwaelimisha watu wa Konde na Makangale juu ya faida ya Utalii.
ReplyDeleteJapokua nikweli Wabunge wengi wa Pemba wanasaidia lakini hakuna mtu anaetangaza. Kwani hawana Redio redio na vyombo vya habari na vya CCM. Na CCM ndio wanaiba pesa za misaada yote inayoletwa. Hivo na Sifazakujipakazia kusaidia watu au vikundi vya Ushirika sio muradi wa Wazanzibari. Wazanzibari wanataka Visiwa vyao viwe huru na waweze kujiamulia mambo yao wenyewe.
As fara as Pemba as concern , I know Pemba cas its where I came from. I personaly dont blem peoples to vote for a party they beliaved on. In USA UK & others Europeans country, peoples never changes their political party. They inherited ides from their grand farthers or mothers.. Eks. Akina Bush wanatoka kwenye Republican from generation, The Kennedys they came from Democratics and The Blairs farmily comes from Labour .
Hivo Wapemba kuendelea kuichagua CUF nakuikataa CCM hiyo ndio Democracy yakweli. Kwani wanaamini kwamba CUF ingekua imeshirikishwa ki-kweli kweli kwenye madaraka ya GNU wangekua mbali. Hivo walivopata tu japo kidogo sio haba. Na naamini mstahamilivu wisho wake hula mbivu tu. Mungu anamwapenda wote wale wanaovumilia manyanyaso.
Nakubaliana na mchangiaji na 2, wabunge wa pemba hawaichangi jamii yao mara nyingi makazi yao bara, kwenye warembo, kama mdau no3 anavyo dai kuwa haitangazwi sikweli, kama haitollewi kwenye vyombo vya habrari jamii ingeona kwa macho,, kipindi cha mvua za masika zimepita hatujasiki mbunge wala muakilishi kutoa angalau miche 20 ya mikarafuu, akitokezea mtu usema ukweli anaambiwa huyo ccm, michango ya mh mbarawa inaonekana kw mfano kapeleka maji kisiwa panza watuwote wanajua hilo cuf,kula kwenda mbele,sasa mbadala una kuja, hawa totupigisha tena vigongo
ReplyDelete