Habari za Punde

PBZ Yakabidhi Fulana kwa Ajili ya Siku ya Uchangiaji Damu.Zenj


Meneja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Seif Suleiman kulia akimkabidhi Fulana Mratibu wa Benki ya Damu Zanzibar Dkt. Bakari Magarawa, kwa ajili ya Siku ya Maadhimisho ya Siku ya Kuchangia Damu Zanzibar itakayofanyika katika viwanja vya Kituo cha Huduma za Damu Salama Amaan. Maadhimisho hayo hufanyika kila mwaka tarehe 12, Juni na kwa Wananchi kwa kuchangia Damu kwa ajili ya kuweka katika Benki ya Damu Zanzibar kwa ajili ya kusaidia Wananchi mbalimbali wanapokuwa na matatizo ya kuengezea damu.Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi za PBZ Darajani na kushoto Ofisa Masoko wa PBZ Mwanaharusi Ali Mohamed.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.