Habari za Punde

Waziri wa Fedha Atua Barazani kutoa Bajeti ya Serikali.

Mhe. Omar Yussuf Awasilisha Bajeti ya Serikali Katika Kikao cha Bajeti.

1 comment:

  1. haya mambo ya kurithi upumbavu wa kikoloni jamani yaishe, kuonyesha hicho kibegi ndio nini ? kwani kilichomo humo ndani ya begi kimejiandika chenyewe au kimeandikwa na watu , na kama kimeandikwa na watu cha ajabu ni nini kukionyesha?
    Na vile vile yale mambo ya kuingia kwa spika na rungu na watu kusimama ndio kitu gani? kama si upumbavu? na wakati wa kutoka katika vikao kumwinamia spika kama si ukafiri na upumbavu ni nini? naomba nielimishwe

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.