Mhe. Omar Yussuf Awasilisha Bajeti ya Serikali Katika Kikao cha Bajeti.
MAONESHO YA MIFUGO YA KIMATAIFA MBOGO 2025 KUANZA JUNI 14 CHALINZE
-
Na Mwandishi Wetu
MAONESHO ya Mifugo ya Kimataifa ya Mbogo 2025- ambayo yanakwenda kuandika
alama mpya sio tu kwa tasnia ya mifugo ya Tanzania, bali pia...
1 hour ago
haya mambo ya kurithi upumbavu wa kikoloni jamani yaishe, kuonyesha hicho kibegi ndio nini ? kwani kilichomo humo ndani ya begi kimejiandika chenyewe au kimeandikwa na watu , na kama kimeandikwa na watu cha ajabu ni nini kukionyesha?
ReplyDeleteNa vile vile yale mambo ya kuingia kwa spika na rungu na watu kusimama ndio kitu gani? kama si upumbavu? na wakati wa kutoka katika vikao kumwinamia spika kama si ukafiri na upumbavu ni nini? naomba nielimishwe