Habari za Punde

Uzinduzi wa Michuano ya Kombe la Mabenki yalioko Zanzibar.Chini ya Udhamini wa PBZ.

Mgeni wa mechi ya Uzinduzi wa Michuano ya Kombe la Mabenki yalioko Zanzibar Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Nassor Salim Jazeera kulia akiongozana na Mwenyekiti wa ZFA Wilaya ya Mjini Kocha Juma, wakielekea kuzindua michezo hiyo iliofanyika katikauwanja wa Amaan, kwa kuzikutanisha timu za Benki ya Watu wa Zanzibar na Benki ya DTB.  
Mgeni rasmin akisalimiana na wachezaji ya timu ya PBZ, katika mchezo wa uzinduzi wa michuano hiyo inayozishirikisha timu za Mabenki yalioko Zanzibar.
Mgeni rasmin akisalimiana na wachezaji ya timu ya DTB katika mchezo wa uzinduzi wa michuano hiyo inayozishirikisha timu za Mabenki yalioko Zanzibar
Mgeni Rasmin akitowa nasaha zake kabla ya kuaza kwa mchezo wa ufunguzi wa michuano hiyo katika uwanja waAmaan.timu ya PBZ imeshinda 1--0
Kikosi cha Timu ya PBZ kilichotoka kifua mbele baada ya kuifunga timu ya DTB, katika mchezo wa ufunguzi uliofanyika katika uwanja wa Amaan.
Kikosi cha Timu ya DTB kilichoaza michuano hiyo na kufungwa na timu ya PBZ




















No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.