Habari za Punde

Kumtafuta Mkali wa Muziki wa Bongo Star Search ndani ya Zenji....

 

 Washiri wa Bongo Star Search wakisubiri kuitwa kushiriki katika ngwe ya lala salama kuchaguliwa washindi watano watakaokwenda Dar.
Washiriki wa Bongo Star Search wakisubiri nafasi ya kuhojiwa ili kufaulu kushiriki Bongo Star Search mchuju uliofanyika katika ukumbi wa salama bwawani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.