Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mshauri Mkuu wa Makamu wa Rais wa Nigeria, Isaiah Balat, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikwe, jiji Abuja leo Julai 14, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano Mkuu wa 12 wa Afrika unaojadili Magonjwa ya Ukimwi, Malaria, Kifua Kikuu na Magonjwa mengine ambukizi, unaotarajia kuanza leo Julai 15 na kumalizika Julai 16. Kushoto ni Mke wa Makamu, Mama Asha Bilal.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Mshauri Mkuu wa Makamu wa Rais wa Nigeria, Isaiah Balat, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikwe, jiji Abuja leo Julai 14, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano Mkuu wa 12 wa Afrika unaojadili Magonjwa ya Ukimwi, Malaria, Kifua Kikuu na Magonjwa mengine ambukizi, unaotarajia kuanza leo Julai 15 na kumalizika Julai 16. Nyuma yao ni Mke wa Makamu, Mama Asha Bilal. Picha na OMR
MAIKO SALALI WA FDH AINGIA KINYANG'ANYILO CHA UBUNGE JIMBO LA MPWAPWA
-
MKURUGENZI wa Shirika lisilo la kiserikali la Foundation for Disability
Hope FDH Maiko Salali, ameingia rasmi kwenye kinyang’anyiro cha kugombea
Ubunge k...
48 minutes ago
No comments:
Post a Comment