Habari za Punde

Ufungaji wa Pembea Mpya Bustani ya Jamuhuri kwa Ajili ya Eid Fitry.

Mmiliki wa Kituo cha Michezo ya Watoto katika bustani ya Jamuhuri Weles akizungumzia matayarisho ya maandalizi ya ufunguaji wa mapembea seti mbili katika kituo hicho kutowa nafasi kwa watoto kipindi cha sherehe  za sikukuu baada ya mwezi wa mfungo wa ramadhani.
Seti ya pembea ya FlyChair  inayofungwa katika kituo hicho.

Mafungi wakiwa katika kazi ya kufunga moja ya pembea katika kituo hicho cha michezo ya watoto katika bustani ya jamuhuri weles.i

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.