Habari za Punde

Dk Shein apewa Zawadi

IMG_3123Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akipokea zawadi ya Kinyago cha
Twiga kutoka kwa Msanii maarufu Mzee Otmar Francos Mpanda kutoka Mkoani Mtwara wilaya ya Masasi,pia akiwa Mzee wa CCM Wilaya hiyo,hafla hiyo ilifanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.