Habari za Punde

Dk Shein atembelea bandari ya Rotterdam, Uholanzi

 Baadhi nya Viongozi walioungana katika ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakiwa katika Ofisi ya bandari ya Rotterdam Nchini Uholanzi wakipatiwa maelezo mbali mbali ya kiutendaji.{Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi,}
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akifuatana na Makamo wa Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari ya Rotterdam nchini Uholanzi wakati  alipotembelea Bandari hiyo kuona Shuhuli mbali mbali za Kazi. Picha na Ramadhan Othmann,Uholanzi,}

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.