Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Pawan Kumar,kushoto mwenye suti nyeupe akipandisha bendera kuashiria kusherehekea miaka 67 ya Uhuru wa India maadhimisho hayo yamefanyika katika Ubalo Mdogo wa India Migombani Zanzibar.
Balozi Mdogo wa India Zanziubar Pawan Kumar akisoma hutuba akati wa sherehe za kutimiza miaka 67 ya uhuru wa India, maadhimisho hayo yamefanyika katika Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar.
No comments:
Post a Comment