Habari za Punde

Polisi Yaimarisha Ulinzi Mji Mkongwe Zanzibar.

Askari Polisi wakiwa katika doria katika  maeneo ya Mji Mkongwe wa Unguja. ili kudhibiti vitendo vya uvunjaji wa sheria na baadhi ya watu katika mitaa ya mji mkongwe Zanzibar.
Watalii wakiwa katika matembezi yao katika mitaa ya mji mkongwe kutembelea maeneo ya historia ya Unguja kama walivyokutwa na mpiga picha katika maeneo ya shangani Posta.
Watalii wakiwa katika matembezi yao katika mitaa ya darajani wakiwasili kutoka Dar -es- Salaam kuaza na shughuli zao za kitalii katika visiwa vya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.