Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji Zanzibar { ZAWA } Dr. Mustafa Ali Garu akitowa maelezo kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hatua zinazochukuliwa za ujenzi wa tangi la kuhifadhia maji safi liliopo machui chini ya ufadhili ya Benki ya Maendeleo ya Afrika { ADB }.
Balozi Seif akipatiwa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji Zanzibar { Zawa } Dr. Garu kuhusu hatua za uchimbwaji wa visima vya maji katika kituo cha Chumbuni unaofadhuiliwa na Serikali ya Ras Al-Khaimah.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akishuhudia upungufu mkubwa wa maji uliopo katika kianzio cha maji cha chem Chem ya Mwanyanya wakati alipofanya ziara ya kukagua kuduma hiyo katika maeneo tofauti Unguja
Wahandisi wa Kampuni ya Kimataifa ya ujenzi ya Reli ya Nchini China {CRJ } na wale wa mamlaka ya Maji Zanzibar wakiwa katika harakati za ujenzi wa Tangi la kuhifadhia maji liliopo Machui Wilaya ya Magharibi.(picha na OMPR)
Rais na Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan
apiga Kura katika Kituo cha Ofisi ya Kijiji Chamwino mkoani Dodoma
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea wa nafasi ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)
M...
9 hours ago





No comments:
Post a Comment