Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Haji Omar Kheri, akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar kuhusiana na ziara yake kutembelea wafanyabiashara wa Jua Kali, na kufanya taratibu ya kuwahamisha wafanyabiashara wa darajani jua kali kurejea katika sehemu waliohamishiwa ya Saateni kukiwa na utaratibu maalum kuliweka eneo hilo katika hali ya kisasa na kuliimarisha katika miundombinu ya eneo hilo.
Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano na Waziri Ofisini kwake Shangani Zanzibar.

No comments:
Post a Comment