Habari za Punde

Msongamano wa Wafanyabiashara na Gari za Daladala Darajani.


 Msongamoano wa magari ya abiria katika kituo kikuu cha darajani imekuwa kero kwa watumiaji wa kituo hicho kutokana na wafanyabiashara kukivamia kituo hicho na kufanya biashara bila ya kujali eneo hilo kwa ajili ya gari za daladala.
 Hivi ndivyo inavyokuwa wakati wa saa za mchana katika kituo hicho cha daladala darajani jinsi wafanyabiashara kukitumia kituo hicho kwa kufanyia biashara na kuchukuwa sehemu kubwa ya kituo hicho kwa biashara zao na kuwa kero kwa abiria wanaofika kituoni hapo kupata huduma hiyo.

1 comment:

  1. Chakushangaza, wakuba wa smz, kilasiku wanapita, na hawa baraza la mji kazi yao kukushanya pesa,.Watu hawa waliekewa eneo kinazini, hawakwenda kwa sababu, ndini ya smz, hakuna uongozi imara kunafitana na siasa uchara kila jambo huamuliwa kisiasa, Mkurugenzi alipo taka kuchukua hatua alimwagiwa tindikali, viongozi, kimya na mkaanza zogo kwenye baraz lawakilishi, mlafi,fisadi, kama vile kuna mwema ndani ya smz, twendeni ikesha tupumue

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.