Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
DK.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akizungumza na Uongozi wa Ofisi
ya Makamo wa Kwanza wa Rais,katika kikao cha kujadili utekelezaji wa
Mpango kazi wa Wizara hiyo,wa mwaka wa fedha 2013-2014 na robo ya
kwanza ya mwaka wa fedha 2013-2014,katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu
Mjini Zanzibar,(kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif
Hamad,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Fatma
Abdulhabib Fereji,(kusho) na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid
Yahya Mzee
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Ofisi ya Makamo wa
Kwanza wa Rais,wakiwa katika cha kujadili utekelezaji wa Mpango kazi
wa Wizara hiyo,wa mwaka wa fedha 2013-2014 na robo ya kwanza ya mwaka
wa fedha 2013-2014,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(hayupo
pichani) katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.]
No comments:
Post a Comment