Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Haji Omar Kheir, akizungumza na vijana
wanaoishi katika soba house ya limbani Wete, kabla ya kukabidhi ahadi
iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi, Mh Dk Ali
Mohamed Sheina, kuwapatia wakati alipowatembelea vijana hao(Picha na Abdi
Suleiman, Pemba.)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Haji Omar Kheir,akimkabidhi LAPTOP mbili (2),
mdhamini wa vijana wanaoishi katika nyumba ya Soba House ya limbani wete, Abdullwadi
Salim, ikiwa ni ahadi iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza
la Mapinduzi, Mh Dk Ali Mohamed Shein, kuwapatia wakati alipowatembelea vijana
hao(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Haji Omar Kheir,akimkabidhi MAGODORO 30,
mdhamini wa vijana wanaoishi katika nyumba ya Soba House ya limbani wete,
Abdullwadi Salim, ikiwa ni ahadi iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa baraza la Mapinduzi, Mh Dk Ali Mohamed Sheina, kuwapatia wakati alipowatembelea
vijana hao(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
No comments:
Post a Comment