Mshauri Muelekezi wa Kiwanda cha Sukari Mahonda Dkt. Hamza Hussein Sabri, akizungumza na Waandishi wa habari na Sheha wa Mahonda kuhusiana na utiaji wa moto wa shamba la miwa mahonda na watu wasiojulikana na kuisababishia hasara kampuni hiyo kwa kuchomwa kwa miwa hiyo.
Sheha wa shehia ya mahondaAli Haji Bakari akizungumza na Viongozi wa Kiwanda cha Sukari Mahonda baada ya kukagulishwa eneo hilo la tukio na kujionea hasara iliopatikana na utiaji wa moto huo na Watu wasiojulikana na kusababisha hasara ya kuunguwa kwa miwa karibu hekta 18 kuteketea kwa moto, zikiwa za majaribi. katika zoezi la kuaza kwa uzalishaji wa sukari katika kiwanda hicho ambacho kilisimama kwa uzalishaji wake kwa karibi miaka mingi na kupata muwekezaji wa kikiendeleza kiwanda hicho.
MSIGWA ATEMBELEA BANDA LA JAB, ASISITIZA USAJILI NA WAANDISHI WATIA NIA
KUJIWEKA KANDO
-
*Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Gerson
Msigwa akisaini kitabu cha Wageni pamoja na kuzingumza na Kaimu Mkurugenzi
Mkuu wa B...
39 minutes ago
No comments:
Post a Comment