Kituo kipya cha gari za njia ya bububu eneo la saateni kama kinavyoonekana hivi.
Kituo kipya cha Jangombe kwa Bint Hamrani kikiwa na ukiwa tangu kutangazwa kupakilia abiria katika kituo hicho hakuna gari hata moja iliokaa katika kituo hicho ambacho hutoa huduma ya magari ya makunduchi Paje Jambiani Mpendae na kadhalika hivi ndivyo kilivyo hadi sasa bila ya kupitia na gari husika.
No comments:
Post a Comment