Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Usafirishaji wa vyombo vya usafiri ya Be Forward. JP Bwana Hironori Yamakawa wakiingia katika tafrija ya kutumia mwaka mmoja ya Kampuni hiyo iliyofanyika katika hoteli ya Hyatt Regence Jijini Dar es salaam.
Balozi Seif Ali Iddi akikabidhi hati ya gari aina ya Toyota Passo 2004 kwa mshirika wa Kampuni ya Usafirishaji wa vyombo vya usafiri ya Be Forward. JP aliyebahatika kupata zawadi hiyo kwenye tafrija ya Be Forward. JP.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif pamoja na Uongozi wa Kampuni ya Usafirishaji wa vyombo vya usafiri ya Be Forward. JP wakinywa kwa furaha katika tafrija maalum ya kutimia mwaka mmoja kwa Kampuni hiyo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa zawadi mbali mbali ziliztolewa na Kampuni ya Be Forward. JP kwenye Tafrija ya kutimia mwaka mmoja wa Kampuni hiyo Nchini Tanzania.(Picha na Hassan Issa wa –OMPR – ZNZ.)
No comments:
Post a Comment