Habari za Punde

Kidatu cha Nne wakifanya Mitihani yao ya Taifa Tanzania.

 Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Vikokotoni wakiwa katika chumba cha mitihani wakifanya mtihani wa somo la Kingereza ikiwa ni siku ya mwazo wa kuaza kwa mitihani yao ya Taifa kuungana na Wanafunzi wezao wa Tanzania nzima katika mitihani hiyo.


 Wanafunzi wa skuli ya Viko wakitoka katika eneo la skuli baada ya kumaliza mtihani wao wa kwanza wa kidatu cha nne taifa, wakiungana na wanafunzi wezao wa Tanzania kufanya mtihani wa Taifa wa kuweza kufauli kuingia Kidatu cha Tano na Sita ikiwa watafanikiwa kufaulu na kuendelea na masomo yao.   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.