Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Juma Kassim Tindwa, akieleza jambo juu ya suala la ulinzi lilivyokuwa wakati wote wa zoezi la uandikishaji wapigakura katika mkoa wake . huko katika hoteli ya Hifadhi Pemba, katika mkutano wa Tume ya ZEC na Wadau wa Uchaguzi Picha na bakar Mussa-PEMBA
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ZEC, Salim Kassim, akitowa maelezo juu ya mkutano wa Tume ya Uchaguzi ZEC na Wadau wa Uchaguzi huko Pemba
Mwenyekiti wa Tume ya Ucahguzi Zec, Jecha Salim Jecha , akifunguwa Mkutano wa Wadau wa Uchaguzi Pemba kujadili vikwazo vilivyopelekea wananchi kutojitokeza kwa wingi akatika vituo vya Uandikishaji wapiagakura wapya, huko katika hoteli ya Hifadhi Pemba.Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ZEC, Senga Salmin, akitowa maelezo juu ya umuhimu wa Cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya kujiandikisha katika Dafatari la wapigakura huko Pemba.
No comments:
Post a Comment