Habari za Punde

Mahafali ya Wahitimu wa Darasa la Saba Skuli ya Trifonia Academy ya fuoni


 WANAFUNZI wa skuli ya Trifonia Academy ya Fuoni mambo sasa wakionesha vazi la Kingazija wakati wa maonesho ya mavazi katika sherehe za mahafali ya wahitimu wa darasa la saba na kidatu cha nne wa skuli hiyo yaliofanyika skulini hapo Fuoni
 WANAFUNZI wa darasa la pili skuli ya Trifonia Academy ya fuoni mambo sasa wakionesha vazi la kimasai wakati wa sherehe ya mahafali ya nane kwa wahitimu wa kidatu cha nne na ya kumi kwa wahitimu wa darasa la saba yaliyofanyika skulini hapo Fuoni Wilaya ya magharib
 WANAFUNZI wa skuli ya Trifonia Academy ya Fuoni mambo sasa wakionesha vazi la Kiarabu wakati wa maonesho ya mavazi katika sherehe za mahafali ya wahitimu wa darasa la saba na kidatu cha nne wa skuli hiyo yaliofanyika skulini hapo Fuoni






No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.