Habari za Punde

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA PAMOJA WA SADC NA ICGLR PRETORIA, AFRIKA KUSINI

Meza kuu katika mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihudhuria mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini, usiku wa kuamkia leo Oktoba 5, 2013
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wakiwa katika mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini(PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.