Benki ya CRDB Yashinda Tuzo ya Dhahabu ya Kimataifa ya Uwekezaji Katika
Jamii Kupitia CRDB Bank Marathon
-
Benki ya CRDB imeshinda tuzo ya dhahabu ya Kimataifa ya Uwekezaji katika
Jamii (International CSR Awards 2025) kupitia mbio zake za kimataifa ya
CRDB BANK...
3 hours ago
Hiki kituo kiko wapi? Nimeshindwa kupajua hapa mahali. Naona majumba ya Michenzani kwa mbali. Lakini nashindwa kujua kama hapa ni karibu na Mkunazini au Rahaleo au wapi? Naomba nieleweshwe.
ReplyDeleteHapo ni karibu na mkunazini pembeni na makao makuu ya CCM, kwa umaarufu kunajulikana Donge.
ReplyDeleteSerikali yetu kwa 'hekima' zake nyingi tusizozijua wananchi wameona hapo ndo panafaa pawe kituo kikuu cha daladala badala ya darajani.
Inasikitisha sana. Hapa mahali kwa mtu yoyote mwenye akili timamu hawezi kukubali kuwa sasa pamewekwa kituo cha gari za Donge.Jee kituo kimewekwa kwa kuwa hapa mahali ni maarufu kwa jina la Donge? Jamani mnaohusika shughulikieni hili. Hapa mahali panaweza kuzua maafa makubwa na usumbufu pakiendelea kuwa kituo cha magari.
Delete