Habari za Punde

Kituo Kipya cha Daladala Donge




3 comments:

  1. Hiki kituo kiko wapi? Nimeshindwa kupajua hapa mahali. Naona majumba ya Michenzani kwa mbali. Lakini nashindwa kujua kama hapa ni karibu na Mkunazini au Rahaleo au wapi? Naomba nieleweshwe.

    ReplyDelete
  2. Hapo ni karibu na mkunazini pembeni na makao makuu ya CCM, kwa umaarufu kunajulikana Donge.
    Serikali yetu kwa 'hekima' zake nyingi tusizozijua wananchi wameona hapo ndo panafaa pawe kituo kikuu cha daladala badala ya darajani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inasikitisha sana. Hapa mahali kwa mtu yoyote mwenye akili timamu hawezi kukubali kuwa sasa pamewekwa kituo cha gari za Donge.Jee kituo kimewekwa kwa kuwa hapa mahali ni maarufu kwa jina la Donge? Jamani mnaohusika shughulikieni hili. Hapa mahali panaweza kuzua maafa makubwa na usumbufu pakiendelea kuwa kituo cha magari.

      Delete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.