Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Shein.Azungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vya ndani na nje ya Nchi ikiwa ni kutimiza miaka mitatu ya Utawala wake na kuzungumzia maendeleo na mafanikio katika kipindi hicho, mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Zanzibar leo.
Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waandishi wa habari Ikulu Zanzibar.
Viongozi wa Serekali wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari. 
Viongozi wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dkt. Shein akizungumza na Waandishi Ikulu Zanzibar.
Mwaandishi wa habari wa Taasisi ya DW Salma Said akiwa katika mkutano na Waandishi Ikulu akinasa sauti ili kuwapasha habari Wanancxhi walio nje na ndani ya Zanzibar kupitia chombo chake Dw.
Waandishi wa Habari na Wahariri wa vyombo mbalimbali wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, akizungumza nao kuhusiana na mafanikio ya miaka mitatu, Ikulu Zanzibar. 

Mwandishi wa kituo cha TV cha StarTv Abdalla Pandu akiuliza swali katika mkutano huo kuhusiana na Wawekezaji wa Sekta ya Utalii Wawekezaji wengi huwa na Ofisi za Nje ya Zanzibar na Watalii hufanya malipo yao huko. 
                   Mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi Rashid Kejo akiuliza katika mktano huo.
Waandishi wakinyosha mkono kuomba nafasi ya kuuliza swali kwa Rais wa Zanzibar wakati wa mazungumzo na Waandishi Ikulu Zanzibar.
Mwaandishi mkongwe wa habari Tanzania Said Salim alipata fursa ya kuuliza swali kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, alipokutana na waandishi wa habari Ikulu Zanzibar.
Mwandishi wa gazeti la Zanzibar LeoMwantanga Ame akiuliza swali katika mkutano huowa waandishi wa habari Zanzibar.





Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisisitiza jambo alipokuwa akijibu maswali ya Waandishi alioulizwa katika mkutano huo uliofanyika Ikulu Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, akijibu maswali ya waandishi wa habari waliomuuliza wakati wa Mkutano wake na Waandishi Ikulu kuzungumzia maendeleo ya Zanzibar katika kipindi cha miaka mitatu.
Waandhishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vya TZ wakiwa katika harakati za kupata picha na sauti wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akizungumza na waanshi Ikulu Zanzibar leo kuhusiana na miaka mitatu ya Uongozi wake Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.