Father Cosmas Shayo akiongoza Ibada ya Krismax kuadhimisha sherehe za kuzaliwa kwa Yesu, Ibada iliofanyika katika Kanisa la Wakatoliki Shangani Zanzibar. wakijumuika na Wakristo wote duniani kwa Ibada hii ya kuzaliwa kwa Yesu.
Waumini wakiwa katika Ibada ya Krismax
No comments:
Post a Comment