Habari za Punde

Kamishna Mpya wa Polisi Zanzibar Ajitambulisha kwa Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na Kamishna mpya wa jeshi la polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame, ofisini kwake Migombani.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na Kamishna mpya wa jeshi la polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame, ofisini kwake Migombani.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa pamoja na Kamishna mpya wa jeshi la polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame, baada ya mazungumzo yao ofisini kwake Migombani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.