Habari za Punde

Kitengo Shirikishi cha afya ya mama na mtoto chafunguliwa Zanzibar

01Waziri wa Ardhi, Makazi na Nishati Mhe. Ramadhan Shaaban akikata utepe wakati akifungua Jengo la Ofisi ya Kitengo Shirikishi cha Afya ya mama na mtoto kiliopo Kidongo Chekundu nje kidogo ya Mji wa Zanzibar, ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar. 02Mdhamini wa kitengo Shirikishi Afya ya Mzazi na Mtoto Dkt. Ali Omar Ali akimfahamisha kitu Waziri wa Ardhi, Makazi na Nishati Mhe. Ramadhan Shaaban alipokua akikagua jengo hilo mara baada ya kulifungua huko Kidongo Chekundu nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. 05Waziri wa Ardhi, Makazi na Nishati Mhe. Ramadhan Shaaban akiwahutubia wageni walikwa katika ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Kitengo Shirikishi cha Afya ya mama na mtoto liliopo Kidongo Chekundu nje kidogo ya Mji wa Zanzibar, ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.