Habari za Punde

Mabomba ya Mradi wa Usambazaji Maji Safi katika Kijiji cha Micheweni

Mradi mkubwa wa usambazaji wa maji safi na salama kwa Wananchi mbalimbali katika kisiwa cha Pemba umeshamiri kwa utandazaji wa mabomba ya maji katika sehemu mbalimbali za Vijiji vya Pemba, kama yanavyoonekana mabomba haya yakiwa katika Kijiji cha Micheweni yakisubiri kutandikwa kwa ajili ya kuwapatia maji Wananchi wa maeneo hayo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.