Habari za Punde

Mdau na Picha ya Kinyago Nungwi

Mdau akiwa na moja ya kinyago cha Simba wakati wa Ziara ya waandishi kutembelea miradi ya maendeleo katika kipindi cha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar na mafanikio yake katika miradi hiyo ya Sekta mbalimbali. 
Mdau amefutuwa na kinyago hichi na kupiga picha nacho katika moja ya Hoteli za Kitalii ya Hide Way Nungwi 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.