Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akimkabidhi cheti Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Chiku
Matesa,kutokana na mchango
wa Shirika hilo wa Tshs millioni Mia Moja,wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,juzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akimkabidhi cheti Mahmoud
Thabit Kombo,akiwa Mjumbe wa kamati ya Mfuko wa Uwezeshaji
Wananchi Kiuchumi Zanzibar,wakati wa uzinduzi wa mfuko huo,katika ukumbi wa
Zanzibar Beach Resort,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipokea zawadi maalum ya
meli ya Mv.Mapinduzi iliyotengenezwa kwa ubunifu mkubwa,zawadi hiyo
iliyotayarishwa na Kamati ya Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi
Kiuchumi Zanzibar,wakati wa uzinduzi katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipokea zawadi Jahazi
maalum lililotolewa na Wizara ya ,Uwezeshaji,Ustawi wa
Jamii,Vijana,Wanawake na Watoto,inayoongozwa na Bi Zainab Omar
Mohamed,(kulia) wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji
Wananchi Kiuchumi Zanzibar,juzi katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort
No comments:
Post a Comment