Habari za Punde

Matunda ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar hayoooo...

Kituo Kipya cha Afya ya Wazazi na Watoto katika Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba ni moja ya Miradi ya Serekali katika kutowa huduma ya Afya, Kimefunguliwa hivi karibuni katika shemrashamra za sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar, kwa ajili ya kutowa huduma za Afya za Mtoto na Mzazi katika kijiji hicho Kiuyu Micheweni.
Ambacho

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.